Hazard na Willian wote nje, kikosi cha Chelsea dhidi ya Burnley - Darajani 1905

Hazard na Willian wote nje, kikosi cha Chelsea dhidi ya Burnley

Share This

Chelsea inashuka uwanjani usiku huu kucheza mchezo wake wa ligi kuu Uingereza kwenye uwanja wa Turf Moor ikicheza dhidi ya wenyeji wa uwanja huo, Burnley ambao wenyewe wanashika nafasi ya saba kwenye msimamo wa ligi kuu Uingereza huku Chelsea ikiwa nafasi ya tano.

Kuelekea kwenye mchezo huo, hapa nakuletea kikosi cha Chelsea kitakachocheza mchezo wa leo.

Kikosi kamili;
Kipa; Thibaut Courtois
Walinzi; Cesar Azpilicueta, Gary Cahill na Antonio Rudiger
Viungo; Victor Moses, N'Golo Kante, Tiemoue Bakayoko, Pedro na Emerson Palmieri
Washambuliaji; Olivier Giroud na Alvaro Morata

Wachezaji wa akiba; Willy Caballero, Andreas Christensen, David Zappacosta, Cesc Fabregas, Ross Barkley, Willian na Eden Hazard

No comments:

Post a Comment