Chelsea inashuka uwanjani muda mfupi ujao kumenyana dhidi ya Tottenham kwenye uwanja wa Stamford Bridge, uwanja ambao Tottenham hawajawai kupata ushindi toka mwaka 1990.
Na leo inakuja tena uwanjani hapo kupambana dhidi ya Chelsea, Chelsea inayohitaji alama tatu muhimu ili kujiweka sawa kwenye msimamo wa ligi kuu. Chelsea inawakosa Thibaut Courtois, Ethan Ampadu, David Luiz pamoja na Pedro pamoja na Ross Barkley.
Kikosi kamili cha Chelsea;
Kipa; Willy Caballero
Walinzi; Cesar Azpilicueta, Andreas Christensen na Antonio Rudiger
Viungo; Victor Moses, N'golo Kante, Cesc Fabregas na Marcos Alonso
Washambuliaji; Willian, Alvaro Morata na Eden Hazard
Wachezaji wa akiba; Eduardo, Gary Cahill, Zappacosta, Emerson Palmieri, Tiemoue Bakayoko, Hudson-Odoi na Olivier Giroud
No comments:
Post a Comment