
Alhamisi Ya wiki hii Kwenye Mechi dhidi Ya bunley, mchezaji wa Chelsea Thibaut Curtois alitimiza Mechi 150 za mashindano yote Tokea atue Chelsea 2011 akitokea Genk Ambako anachezea MTanzania Mohammed Ally Samata.
Thibaut Curtois amepata mafanikio Binafsi na kitimu baada Ya kutwaa tunzo mbalimbali na makombe kama:-
Kombe LA Ligi 2014/15
Ligi kuu Ya England Mara mbili 2014/15 na 2016/17
Mchezaji bora wa ubelgiji anayesakata kabumbu nje Ya mipaka 2013
Goli kipa bora wa Mwaka nchini Ubelgiji 2011
Kipa bora wA Ligi kuu Ya England 2016/17

Thibaut Curtois msimu huu ameambulia clean sheet 16 Kwenye mashindano yote Huku akiokoa michomo 88.
No comments:
Post a Comment