Nyota wa Chelsea, N'Golo Kante ambaye alichaguliwa kushinda tunzo ya mchezaji bora klabuni Chelsea kwa msimu wa 2017-2018, hatimaye nyota huyo raia wa Ufaransa amefanikiwa kushinda tunzo nyengine ambapo amechaguliwa kuwa mchezaji bora kutoka nchini Ufaransa ambaye anacheza nje ya Ufaransa.
Nyota huyo ameshinda tunzo hiyo kwa mwaka wa pili mfululizo ambapo mwaka uliopita alishinda tena tunzo hizo zinazotolewa na chama cha wachezaji wa kulipwa nchini Ufaransa, L'UNFP.
Hongera kwake nyota wetu..
No comments:
Post a Comment