Exclusive; Ratiba ya Chelsea ya ligi kuu msimu wa 2018-2019 - Darajani 1905

Exclusive; Ratiba ya Chelsea ya ligi kuu msimu wa 2018-2019

Share This

Hiki ni kipindi cha mapumziko kwa klabu zote za soka barani Ulaya na kwa upande wa ligi kuu Uingereza, timu zote zinatumia muda huu kujiandaa na msimu mpya kwa kufanya sajili na kucheza michezo yake ya kirafiki.

Ratiba kamili ya ligi hiyo kwa msimu ujao imeshatoka na hapa nakuletea ratiba kamili ya Chelsea kwa msimu mzima wa 2018-2019.

No comments:

Post a Comment