Blog yako ya Darajani 1905 inapenda kuwatakia waislamu na wale wote heri ya sikukuu ya Eid Mubarak na hongera kwa mfungo wa Ramadhan kwa wale wote walioshiriki vyema mwezi huo mtukufu.
Muhimu na kubwa katika siku ya leo ni kudumisha amani na upendo maana mambo hayo ndio yanatufanya tuweze kufurahia maisha na kupenda kwetu soka. Kukiwa na vita na mapigano basi hakuna lolote jema linaloendelea zaidi ya kupambana kunusuru roho yako.
No comments:
Post a Comment