Batshuayi ajipanga kivingine kuelekea mchezo dhidi ya Brazil - Darajani 1905

Batshuayi ajipanga kivingine kuelekea mchezo dhidi ya Brazil

Share This

Moja kati ya wachezaji wa Chelsea ambao wapo karibu na mitandao ya kijamii basi ni nyota raia wa Ubelgiji ambaye juzi alitoka kutuma ujumbe kwenye mtandao wa Instagram akionyesha furaha yake kwa kutimiza wafuatiliaji (followers) milioni 2.

Hatimays nyota huyo amekuja kivingine kwenye mtandao huo akionyesha mtindo wake mpya wa nywele atakaokuwa nao kwenye mchezo wa kesho wa Kombe la Dunia kati ya Ubelgiji dhidi ya Brazil.

Vipi unauonaje mtindo huo? umeupenda?

Kupata habari zote za Chelsea, tembelea kurasa zetu
Facebook➡Darajani 1905
Instagram➡darajani1905

No comments:

Post a Comment