Kigogo chengine barani Ulaya chaonyesha nia ya kumnasa Bakayoko - Darajani 1905

Kigogo chengine barani Ulaya chaonyesha nia ya kumnasa Bakayoko

Share This

Licha ya kusajiliwa kwa matumaini makubwa haswa ya kuifanya safu ya kiungo iwe imara zaidi huku akitumainiwa kuziba pengo la Nemanja Matic aliyetimkia Manchester united lakini alimaliza msimu akitupiwa maneno na mashabiki wengi wakidai hafai kuichezea Chelsea na hajafikia uwezo wa Matic aliyeondoka.

Tiemoue Bakayoko. Anatajwa kuhusishwa na klabu kadhaa zinazomuhitaji kwa mkopo kama klabu ya Sevilla, nasasa klabu ya AC Milan kutoka nchini Italia.

Klabu hizo zote zinatajwa kumfukuzia kiungo huyo kwa mkopo wa msimu mzima huku klabu ya AC Milan ikitajwa kukubaliwa kumnasa.

No comments:

Post a Comment