Rasmi; Nyota wa Chelsea atimkia daraja la kwanza - Darajani 1905

Rasmi; Nyota wa Chelsea atimkia daraja la kwanza

Share This

Nyota wa Chelsea, Kasey Palmer mwenye miaka 21 amejiunga rasmi na klabu ya Blackburn Rovers inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini Uingereza maarufu kama Championship.

Mkopo wake ni wa msimu mmoja hivyo atarejea klabuni mara baada ya kumalizika kwa msimu.

Palmer aliichezea klabu ya Huddersfield kwa mkopo msimu ujao kabla ya kuungana na kikosi cha Chelsea kilichochini ya kocha Maurizio Sarri.

No comments:

Post a Comment