Klabu ya Fenerbahce ya nchini Uturuki inatajwa kuingia kwenye mpango wa kumsajili nyota wa klabu ya Chelsea, Kurt Zouma.
Kurt Zouma hajaitwa kwenye kikosi kilichosafiri kwenda nchini Australia ambapo huko Chelsea itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Perth Glory.
Kuachwa kwa nyota huyo raia wa Ufaransa kunahusishwa kama nyota huyo hayupo kwenye mipango ya kocha Maurizio Sarri.
No comments:
Post a Comment