Nabil Fekir njia nyeupe kutua Chelsea - Darajani 1905

Nabil Fekir njia nyeupe kutua Chelsea

Share This

Huenda muda wowote kuanzia sasa klabu ya Chelsea ikamtangaza Nabil Fekir kuwa mchezaji mpya klabuni hapo.

Nabil Fekir mwenye miaka 25 anatajwa kukubali mahitaji yake binafsi huku rais wa klabu anayoichezea, klabu ya Olympique Lyon akikubali fungu la pesa euro milioni 60 kutoka kwa Chelsea juu ya usajili huu.

Mshambuliaji wa Chelsea, Olivier Giroud alikiri kwamba alijaribu kumshawishi mfaransa mwenzake huyo kwamba atue Chelsea na huenda ushawishi wake ukaleta matunda Darajani

No comments:

Post a Comment