Rasmi; Atkinson kuamua Chelsea vs Arsenal - Darajani 1905

Rasmi; Atkinson kuamua Chelsea vs Arsenal

Share This

Martin Atkinson amechaguliwa kuwa mwamuzi wa mchezo wa ligi kuu Uingereza kati ya Chelsea dhidi ya Arsenal. Mchezo utakaochezwa jumamosi ya tarehe 18-Agosti.

Mwamuzi huyo amekuwa mwamuzi katika michezo 35 ambayo Chelsea imekuwa ikicheza uwanjani huku katika michezo hiyo, Chelsea imeondoka na ushindi katika michezo 20 na kutoa sare michezo 7 huku ikipoteza michezo 8.

Yani hii inamaanisha katika michezo ambayo mwamuzi huyo amekuwa akishiriki, basi Chelsea ina 57% ya kuondoka na ushindi. Waambie majirani waiiandae na kipigo😂😂😂

No comments:

Post a Comment