Klabu ya Schalke 04 inayoshiriki ligi kuu ya Ujerumani, Bundesliga inatajwa kumfukuzia nyota kiungo wa Chelsea, Ruben Loftus-Cheek.
Dirisha la usajili nchini Ujerumani bado halijafungwa hivyo kuipa nafasi klabu hiyo kuweza kumnasa nyota huyo ambaye ni zao la akademi ya Chelsea
Chelsea iligoma kumuuza au kumtoa mkopo nyota huyo ambaye alikuwa akifukuziwa na klabu ya Crystal Palace ambayo msimu uliopita aliitumikia kwa mkopo.
No comments:
Post a Comment