Rasmi; Chelsea yamtoa kwa mkopo nyota wake - Darajani 1905

Rasmi; Chelsea yamtoa kwa mkopo nyota wake

Share This

Kinda mlinzi wa kushoto wa Chelsea, Cole Da Silva amekamilisha uhamisho wake wa kujiunga kwa mkopo na klabu ya Brentford.

Cole mwenye miaka 19 alijiunga na Chelsea akiwa na miaka 12 na kucheza kwenye timu za vijana ambazo amezisaidia kushinda mataji kadhaa.

Kupata habari zote za Chelsea, tembelea kurasa zetu
Website👉 darajani1905.blogspot.com
Facebook👉Darajani 1905
Instagram👉darajani1905

No comments:

Post a Comment