Rasmi; Kovacic atambulishwa Chelsea - Darajani 1905

Rasmi; Kovacic atambulishwa Chelsea

Share This

Mateo Kovacic akamilisha usajili wake wa mkopo wa kujiunga na Chelsea akitokea Real Madrid.

Ametumika kama mabadilishano lakini Chelsea inaweza kumsajili jumla.

Jambo inalotakiwa ulijue ni kwamba nyota huyu raia wa Croatia ilikuwa anahusishwa kutakiwa na Manchester united lakini alikataa kutokana na mbinu mbovu za kocha wa klabu hiyo, Jose Mourinho ambaye anajulikana kwa soka lake la kujilinda sana.

No comments:

Post a Comment