Chelsea yatua kwa mshambuliaji wa Fulham - Darajani 1905

Chelsea yatua kwa mshambuliaji wa Fulham

Share This

Chelsea inatajwa kumfukuzia nyota raia wa Serbia anayetamba na klabu ya Fulham, Aleksander Mitrovic.

Nyota huyo mwenye miaka 23 alikuwa msaada mkubwa kwa klabu hiyo kuisaidia kupanda ligi kuu ikitokea ligi daraja la kwanza nchini Uingereza.

Amekuwa na mwendelezo mzuri katika kuzifumania nyavu ambapo mpaka sasa ameichezea klabu hiyo michezo mitano na kuifungia magoli 4.

No comments:

Post a Comment