Chuma cha Ajax, chataka kutua Uingereza, Chelsea yajitokeza - Darajani 1905

Chuma cha Ajax, chataka kutua Uingereza, Chelsea yajitokeza

Share This
Taarifa kutoka vyombo kadhaa vinaripoti kwamba mlinda mlango wa Ajax, Andre Onana ambaye ni raia wa nchini Cameroon anataka kuondoka klabuni hapo huku chaguo lake kubwa likitajwa kutaka kutua kwenye ligi kuu Uingereza.

Chelsea inatajwa kuongoza orodha kati ya klabu zinazowania saini ya nyota huyo ambaye anatajwa kufikia thamani ya paundi milioni 50.

Tottenham na Barcelona pia zinatajwa kuwania saini ya nyota huyo mwenye maisha mazuri ndani ya wababe hao wa kikabulu.

1 comment: