Usiku wa leo, mida ya saa 22:45, Chelsea itashuka darajani kumenyana na AFC Bournemouth katika hatua ya robo fainali ya kombe la ligi maarufu kama Carabao Cup.
Hapa nimekuletea kikosi kamili cha wachezaji watakaocheza katika mchezo huo.
Golikipa; Willy Caballero
Walinzi; Antonio Rudiger | Ampadu | Cahill
Viungo; Zappacosta | Drinkwater | Fabregas | Kennedy
Washambuliaji; Willian | Batshuayi | Pedro
Wachezaji wa akiba;
Eduardo, Clarke-Salter, Sterling, Bakayoko, Hazard, Hudson-Odoi, Morata
No comments:
Post a Comment