HAPPY BIRTHDAY TENA KWA ASHLEY COLE - Darajani 1905

HAPPY BIRTHDAY TENA KWA ASHLEY COLE

Share This

Mara baada ya siku kadhaa nyuma kufurahia kumbukumbu ya kuzaliwa kwa nahodha wa sasa wa Chelsea, Gary Cahill, leo tena ni kumbukumbu ya kuzaliwa ya aliyekuwa moja ya walinzi wa kushoto bora kuwai kutokea katika soka la Uingereza, Ashley Cole.

Cole anatimiza miaka 37 ambayo ni miaka sawa na mlinzi na gwiji wa Chelsea, John Terry ambaye yeye hana muda mrefu toka kuhidhimisha siku yake hiyo hadhimu.

Ashley Cole alizaliwa tarehe 20-desemba-1980

Sisi kama mashabiki wa Chelsea kutokea Darajani tunasema hongera kwa Ashley Cole.

No comments:

Post a Comment