Nyota raia wa Gabon, Pierre Aubameyang ambaye amekuwa akitajwa kwa karibu kujiunga na Chelsea, sasa mpango huo umeenda ovyo mara baada ya nyota huyo kusaini mkataba mpya klabuni kwake Borrusia Dortmund.
Chelsea imekuwa ikimfukuzia kwa karibu nyota huyo ambaye alionekana kutokuwa na mawasiliano mazuri na timu yake na ikaaminika anaweza akajiunga na The Blues katika dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa mwezi januari lakini sasa dili hilo limegoma.
"acha nisikilize mziki na nitulie maana nishaongeza mkataba na hakuna aliyejua" ni maneno ambayo nyota huyo anayewania tunzo ya mchezaji bora wa Afrika, Aubameyang aliyatuma katika mtandao.
No comments:
Post a Comment