Beki kisiki kwa sasa katika ligi kuu Uingereza, Andreas Christensen ambaye ameziba vizuri pengo la David Luiz aliye majeruhi kwa sasa ameweka rekodi kali huko ligi kuu.
Ukiachana na wale wachezaji walioingia kama mabadiliko (substution), Andreas Christensen ndiye mchezaji pekee ligi kuu nzima aliyepiga pasi za uhakika kwa 100% bila kukosea katika michezo mitatu ambapo alifanya hivyo dhidi ya Swansea, Tottenham na Southampton.
Andreas Christensen👑
No comments:
Post a Comment