Kocha wa zamani wa Chelsea, Jose Mourinho aijia juu klabu ya Chelsea mara baada ya kutishia kutaka kumsajili nyota wa klabu yetu ya Chelsea, Eden Hazard ambapo klabu ya Manchester united ambayo ndiyo kocha huyo anaifundisha imeandaa kiasi cha paundi milioni 90 ili imsajili raia huyo wa Ubelgiji.
Hazard amekuwa akihusishwa pia na klabu kama Real Madrid ambapo kocha wa klabu hiyo ya jijini Madrid, Zinedine Zidane ana mpango wa kumsajili nyota huyo ambaye amemfanya kama chaguo lake la kwanza katika dirisha dogo la usajili.
MOURINHO AITISHA CHELSEA KWA HAZARD
Share This
Tags
# Chelsea Usajili
Share This
About Darajani 1905
Chelsea Usajili
Labels:
Chelsea Usajili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment