Kiungo wa Arsenal, Aaron Ramsey huenda akawa nje kwa muda mrefu kutokana na majeraha yaliyompata amethibitisha kocha wa klabu yake, Arsene Wenger ambapo amesema nyota huyo anaweza akawa nje kwa muda.
Nyota huyo ambaye aliifunga Chelsea katika mchezo wa fainali wa kombe la FA, mwishoni mwa msimu uliopita anaweza akaikosa Chelsea katika kipindi ambacho atakuwa nje ambapo Chelsea itacheza dhidi ya Arsenal katika mchezo wa ligi kuu mwanzoni mwa mwezi januari.
No comments:
Post a Comment