Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Gary Cahill ambaye ni raia wa Uingereza akicheza Chelsea kwa mafanikio makubwa.
Leo anatimiza miaka 32 akiwa amezaliwa tarehe 19-desemba-1985
Hongera Gary James Cahill
About Darajani 1905
Habari, jina langu ni Barnabas Gwakisa ni kijana raia wa Tanzania ninayeshabikia klabu ya Chelsea na ninakuletea ukurasa huu ili upate habari zote kuhusu Chelsea FC, Chelsea FC Women (kwa wanawake) na Chelsea Youth (kwa vijana wa akademi), Asante,....Read More ?
No comments:
Post a Comment