MARCOS ALONSO NI NOMA - Darajani 1905

MARCOS ALONSO NI NOMA

Share This
Marcos Alonso ndiye aliyeifanya Chelsea iwe klabu inayoongoza kwa kufunga mipira ya faulo (free kick), ikiongoza kwa kufunga faulo 7 toka msimu uliopita. Sasa kumbe huwa habahatishi, angalia hapa akifanya makubwa akiwa mazoezini.

No comments:

Post a Comment