Mara baada ya kupata suluhu nyengine, ikiwa ni suluhu ya tatu mfululizo bila kupata goli mara baada ya kupata suluhu ya 0-0 dhidi ya Leicester city.
Kocha wa Chelsea amtetea nyota wa klabu hiyo, Alvaro Morata ambaye amekuwa na mfululizo wa kiwango kibovu ambapo ata leo tena amecheza ovyo, kocha huyo bado amemtetea nyota huyo.
"Tatizo sio Morata, tatizo ni la timu nzima kushindwa kufunga" alisema Antonio Conte alipoulizwa juu ta kiwango cha nyota huyo wa Kihispania aliyesajiliwa kwa dau la paundi milioni 60 kutoka klabuni Real Madrid.
Nini maoni yako?
No comments:
Post a Comment