PL; KIKOSI CHA CHELSEA vs BOURNEMOUTH - Darajani 1905

PL; KIKOSI CHA CHELSEA vs BOURNEMOUTH

Share This
Chelsea leo tena ipo nyumbani kucheza mchezo wake wa ligi kuu Uingereza kwa hatua ya 25 dhidi ya Afc Bournemouth.
Hapa nimekuletea kikosi cha Chelsea kitakachocheza mchezo huo;
Kipa; Thibaut Courtois
Walinzi; Azpilicueta | Christensen | Cahill
Viungo; Zappacosta | Kante | Bakayoko | Barkley | Marcos Alonso
Washambuliaji; Eden Hazard | Pedro
Wachezaji wa akiba; Caballero, Rudiger, Fabregas, Drinkwater, Moses, Ampadu na Hudson-Odoi
Come on Chelsea!

No comments:

Post a Comment