PL; KIKOSI CHA CHELSEA vs LEICESTER - Darajani 1905

PL; KIKOSI CHA CHELSEA vs LEICESTER

Share This
Chelsea inashuka uwanjani jioni ya leo ya raundi ya 23 ya ligi kuu Uingereza ambapo Chelsea itauwa nyumbani kupambana na klabu ya Leicester city ambayo inashika nafasi ya nane katika msimamo wa ligi kuu Uingereza huku Chelsea ikishhika nafasi ya tatu ikiwa na alama 49.

Hapa nimekuletea kikosi kamili cha nChelsea ambacho kitakuwa pale Darajani kupambana ili kupata alama tatu muhimu ambapo kama ikishinda itapanda mpaka nafasi ya pili na kuishusha Manyumbu(Man utd):

Kikosi cha Chelsea;
Kipa; Thibaut Courtois
Walinzi; Cesar Azpilicueta, Gary Cahill (C) na Antonio Rudiger

Viungo; Victor Moses, Tiemoue Bakayoko, Cesc Fabregas, N'Golo Kante na Marcos Alonso

Washambuliaji; Eden Hazard na Alvaro Morata


Wachezaji wa akiba; Willy Caballero, Andreas Christensen, David Luiz, Zappacosta, Willian, Pedro na Michy Batshuayi

Mfumo utakaotumika, ni kama wa mchezo uliopita wa 3-5-2

No comments:

Post a Comment