CHARLY MUSONDA AKIWA CELTIC vs KILMARNOCK - Darajani 1905

CHARLY MUSONDA AKIWA CELTIC vs KILMARNOCK

Share This
Nyota wa Chelsea ambaye ni mmoja kati ya wachezaji wenye vipaji vya hali ya juu kuwai kutokea, Charly Musonda Jr, hapa nimekuwekea video yake akiwa klabuni Celtic ambapo yupo huko kwa mkopo wa miezi 18. Mchezo huo ulichezwa tarehe 03-Februari.

No comments:

Post a Comment