Klabu ya Chelsea imeamua kupambana na mashabiki wa aina yoyote watakaokaririwa au kusikika kutoa lugha ya matusi au kuizalilisha klabu ya Chelsea iwe kwa kuonekana hadharani au kutokuonekana.
Wiki iliyopita klabu hiyo ilizindua kampeni ya "Say no to Anti-Semitism" ambapo kampeni hiyo inahusu kukomesha utumiaji wa lugha chafu na isiyo ya maadili katika kuikejeli klabu iwe kwa namna moja ama nyengine, na kama ukigundulika au kutiwa hatiani wewe kama shabiki wa Chelsea basi utahukumiwa kwa kufungiwa na klabu na hata kupelekwa kwenye vyombo maalumu ili kuwa chini ya uangalizi.
Hii inaonekana kuwa ni dalili nzuri ili kupunguza matukio yasiyo ya kiungwana yanayofanywa na baadhi ya mashabiki ambao mara nyingi huingia kwenye michezo ya Chelsea huku wakiwa wamelewa na kukaririwa wakitoa lugha isiyo na staha.
CHELSEA YAWAONYA MASHABIKI WAKE
Share This
Tags
# Chelsea Habari
Share This
About Darajani 1905
Chelsea Habari
Labels:
Chelsea Habari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment