UEFA; VIDEO, CHELSEA 1-1 BARCELONA - Darajani 1905

UEFA; VIDEO, CHELSEA 1-1 BARCELONA

Share This
Chelsea imetoka suluhu ya 1-1 katika mchezo wake wa kwanza wa hatua ya 16 bora dhidi ya Barcelona hapo jana ambapo goli la Chelsea likifungwa na Willian huku goli la Barcelona likifungwa na Lionel Messi, aliyefunga dakika ya 75. Hapa nimekuekea video ya matukio makubwa mchezo huo kama ulikosa kuuangalia au kama unataka kuutazama kwa mara nyingine.


No comments:

Post a Comment