KILICHOJIRI KLABUNI CHELSEA KWA WIKI NZIMA - Darajani 1905

KILICHOJIRI KLABUNI CHELSEA KWA WIKI NZIMA

Share This
Leo nakuletea video ya matukio yaliyotokea kwa wiki nzima klabuni Chelsea ambapo matukio mbalimbali yaliendelea kwa wiki nzima klabuni hapo, John Terry kurejea klabuni Chelsea ambapo alifika kwenye uwanja wa mazoezi, Ethan Ampadu kurejea mazoezini mara baada ya kuwa majeruhi, Ruben Loftus-Cheek kurudi Chelsea na kufanya mazoezi pamoja na kikosi cha Chelsea mara baada ya kuwa nje kwa muda mrefu akiuguza majeraha. Hayo na mambo mengi basi tazama video hii.

No comments:

Post a Comment