NYOTA WA CHELSEA, WATAMBA KWENYE KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA - Darajani 1905

NYOTA WA CHELSEA, WATAMBA KWENYE KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA

Share This
Wiki hii imekuwa ni wiki ya wachezaji kuteuliwa kwenye ikosi vyao vya timu ya taifa kabla ya kuchezeka michezo ya kirafiki kwa timu hizo za taifa. Timu nying za taifa zimetaja majina ya wachezaji wao ambao wamewateua kujiunga na timu hizo ili kucheza mihezo hiyo ya kirafiki kabla ya kombe la dunia kuanza mwezi Juni.

Timu ya taifa ya Ubelgiji nayo imeteua majina ya wachezaji watakaojiunga na timu hiyo ili kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Saudi Arabia huku kati yao kukiwa na wachezaji wa Chelsea watatu ambao ni raia wa nchi hiyo, Eden Hazard ambaye ndiye mchezaji bora nchini humo kwa mwaka 2017 amechaguliwa kuungana na timu hiyo akiwa pamoja na mlinda mlango Thibaut Courtois pamoja na kinda wa Chelsea anayecheza kwa mkopo kwenye klabu ya Borrusia ortmund, Michy Batshuayi.

Kikosi kizima cha timu hiyo, nimekuwekea hapa

No comments:

Post a Comment