Ligi ya wanawake ya nchini Uingereza maarufu kama FA WSL inaanza rasmi kutimua vumbi hii leo uku Chelsea FC Women ambao ndio mabingwa wa michuano hiyo kwa msimu uliopita wakianza kuutetea ubingwa wao wakiwa nyumbani Kingsmeadow kucheza dhidi ya klabu ya Manchester city Women ambao msimu uliopita walimaliza katika nafasi ya pili
Hapa nakuletea machache unayopaswa kuyajua kuelekea kwenye mchezo huo.
1. Kocha wa klabu hiyo, mwanamama Emma Hayes ataendelea kuiongoza klabu hiyo kwa msimu mwengine tena. Kama unakumbuka vyema msimu uliopita wakati Chelsea FC Women ilipocheza mchezo wake wa mwisho na kukabidhiwa taji la ligi kuu kocha huyo alikuwa kwenye hatua za mwisho kujifungua mtoto ambae alifanikiwa kumpata mtoto wa kiume.

2. Nahodha wa klabu hiyo kwa sasa ni Karen Carney akichukua mikoba hiyo mara baada ya Katie Chapman kustaafu soka.
3. Baadhi ya nyota waliosajiliwa ni pamoja na Ali Riley uku Erin Cuthbert, Fran Kirby na Millie Bright wakiongeza mkataba.
4. Eniola Aluko alijiunga na Juventus uku Rafferty akitimkia West Ham united.
5. Mara baada ya kupoteza kwenye nusu fainali ya klabu bingwa barani Ulaya msimu uliopita, wskipoteza mbele ya Wolfburg Women, klabu hiyo itashiriki tena michuano hiyo kwa msimu huu.
No comments:
Post a Comment