Chelsea dhidi ya Liverpool hatua ya raundi ya tano Kombe la FA - Darajani 1905

Chelsea dhidi ya Liverpool hatua ya raundi ya tano Kombe la FA

Share This

Chelsea kucheza dhidi ya Liverpool kwenye hatua ya 16 bora ya Kombe la FA.

Mechi hiyo itachezwa mara baada ya Chelsea kufika hatua hiyo kwa kupata ushindi wa 2-1 dhidi ya Hull  city uku Liverpool wakipata ushindi usiku wa leo kwenye mchezo wa marudiano dhidi ya Shrewsbury kwa ushindi wa bao 1-0.

Chelsea inatarajia kucheza dhidi ya Liverpool siku ya tarehe 5-March.

No comments:

Post a Comment